Serikali:Dawa za Tanzania ni bora na salama
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mfamasia Mkuu wa Serikali Daud Msasi amewahakikishia Watanzania kwamba dawa zinazozalishwa nchini zimethibitishwa na zina ubora unaostahili. Msasi ametoa kauli hiyo leo Aprili 6,2023 kwenye semina kwa wahariri wa habari nchini iliyoandaliwa na Bohari ya Dawa (MSD) ambapo baadhi ya wahariri walitaka kufahamu ubora wa dawa zinazozalishwa nchini iwapo zina…