Uchumi

Tunaongoza kwa sikukuu nyingi zisizo na tija

 

Kufanya kazi ndiyo msingi wa maisha yetu ya kila siku, hususan jamii yetu ya Kitanzania ambayo wimbo mkubwa ni ukosefu wa ajira pamoja na ugumu wa maisha unaoongezeka kila kukicha.

Read More »

Ziwa Victoria hatarini, tushirikiane kulinusuru

Tanzania imejaaliwa na Mwenyezi Mungu kuwa na rasilimali lukuki za kila aina. Rasilimali hizi ni pamoja na wanyama, milima, ardhi nzuri, mito, watu, maziwa, ndege, bahari, samaki na madini ya aina mbalimbali.

Read More »

Njia bora ya kulinda biashara yako

Wiki iliyopita niliandika makala yaliyokuwa na kichwa “Unahitaji gia ya uvumilivu kumudu biashara”. Nilieleza visa kadhaa vilivyonitokea katika harakati za kibiashara. Mamia ya wasomaji kutoka pande mbalimbali za nchi wameonesha kuguswa na yaliyowahi kunitokea.

Read More »

Unahitaji ‘gia’ ya uvumilivu kumudu biashara

Ninaandika makala haya baada ya kumtembelea Frank Mwaisumbe na kubadilishana naye mawazo, wiki mbili zilizopita. Ni mfanyabiashara aliyepo mjini Iringa anayemiliki kampuni ya uwakala wa safari za anga iitwayo Getterland Company Limited. Mwaisumbe pia ni mmoja ya waasisi wa Shirika la Mindset Empowerment linaloendesha mashindano ya mbio za Ruaha Marathon.

Read More »

Biashara zinahitaji utaalamu, sio kupapasa

Kwa muda mrefu sasa, nimejijengea utamaduni wa kujisomea vitabu. Sisomi kila aina ya vitabu, isipokuwa ninapenda sana vitabu vya biashara na uchumi (finance, economic, entrepreneurship and business), vya uhamasisho na shuhuda (motivational and inspirational) na vinavyohusu ustawi wa kiroho na kimaisha (spiritual and personal improvements). Mara chache sana huwa nasoma vitabu vinavyohusu siasa hasa zile za kimataifa.

Read More »

Nguvu ya rangi katika biashara zetu

Leo nitawapitisha wajasiriamali katika somo muhimu kuhusu rangi. Je, unafahamu chimbuko la neno yeboyebo hapa nchini? Twende pamoja. Miaka michache iliyopita, kampuni moja ya hapa Tanzania ilitambulisha bidhaa zake za juisi zilizokuwa zikifahamika kama “Yebo”. Juhudi kubwa ilielekezwa katika kuitangaza kwa watumiaji. Juisi ile ilikuwa ni ya rangi ya njano na katika matangazo ya kwenye televisheni walitumika watu waliovaa kandambili ...

Read More »

NMB wafundisha uelewa masuala ya kifedha kwa wanafunzi

*Moto waanzia Pugu, Mlimani, sasa kuenea nchi nzima
*Unalenga kuwafunza watoto faida za kutumia benki

Benki ya NMB mara zote imekuwa mbele katika kubuni na kutekeleza miradi mbalimbali, yenye lengo la kuwainua Watanzania kimaisha.

Read More »

Teknohama inavyopaisha biashara

Katika zama hizi za utandawazi, dunia yetu imetawaliwa na mifumo ya aina nyingi inayotikisa na kugusa maisha kila siku ya wakazi wa dunia nzima. Moja ya mifumo hiyo ni mfumo wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEKNOHAMA) pamoja na mfumo wa biashara.

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons