Mshambuliaji Javier Hernandez ‘Chicharito’ akiwa amebebwa na Marko Arnautovic wakati wakishangilia baada ya kuifungia West Ham United bao la kusawazisha dakika ya 73 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Chelsea walitangulia kwa bao la Cesar Azpilicueta dakika ya 36

1082 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!