Home Michezo HUYU HAPA KOCHA MPYA WA SIMBA SC

HUYU HAPA KOCHA MPYA WA SIMBA SC

by Jamhuri

Baada ya kuhangaika huko na kule ikisaka Kocha wa kujaza nafasi ya Joseph Omong kuifundisha simba kwa msimu wa 2017/2018 , hatimaye wekundu wa msimbazi wamelamba dume na kufanikisha kutia sahihi kwa kocha wao mpya,  Pierre Lechantre (miaka 68), raia wa Ufaransa. Mwaka 2000, Lechantre akiiongoza timu ya ya taifa ya Cameroon walishinda michuano ya AFCON.

You may also like