Je, unajua shehena ya mafuta, gesi inavyohudumiwa bandarin

Na Mwandishi Maalumu

Makala ya wiki hii katika mfululizo wa makala za bandari, mwandish
shehena za mafuta na gesi zinavyohudumiwa katika bandar
Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), hususan katika Bandari ya
Shehena za mafuata huagizwa na Petroleum Bulk Procureme
ambao ni wakala wa serikali. Wakala huu uliundwa kuepuka ms
bandarini, hivyo kupunguza au kuondoa kabisa gharama za tozo
kukaa muda mrefu bandarini (demurrage charges).
Faida nyingine ya wakala huo ni kuhakikisha upatikanaji wa takw
mafuta unakuwa wa usahihi ili kurahisisha ukusanyaji wa mapato n
mizania ya kiuchumi inayoleta malipo ya kiwango cha chini kumnufa
Shehena ya mafuta au gesi huagizwa kwa pamoja na PBPA
mbalimbali. Baada ya meli ya mafuta au gesi kufunga bandarini kila
shehena yake ya mafuta au gesi kulingana na kiasi alichoagiza k
ya mabomba maalumu kutoka bandarini hadi kwa mteja husika.
Katika Bandari ya Dar es Salaam kuna gati maalumu kwa ajili ya
mafuta na gesi. Gati hiyo inajulikana kwa jina la Kurasini Oil Jetty
sehemu mbili ambazo ni KOJ1 na KOJ2.
KOJ1 ina uwezo wa kuhudumia meli zenye uwezo wa kubeba mafu
na KOJ2 ina uwezo wa kuhudumia meli zenye uwezo wa kubeb
5,000. KOJ inahudumia meli za mafuta ya aina zote yakiwemo maf
ya taa, mafuta mazito, dizeli, petroli, gesi na mafuta ya ndege.
Pamoja na KOJ kuna gati nyingine ya kuhudumia mafuta ambayo
wa Mji Mwema – Kigamboni. Gati hii inaitwa Single Point Moorin
Buoy Mooring (SBM). Gati ya SPM ina uwezo wa kuhudumia me
kubeba mafuta hadi tani 150,000.
Gati hii ya SPM inahudumia meli za mafuta ya dizeli tu na mafut
Zambia. Mafuta ghafi hayo usafirishwa kupitia mabomba maalumu
Bandari ya Dar es Salaam hadi Ndola, Zambia kwenye kiwan

mafuta.
Meli ya mafuta au gesi baada ya kuwasili bandarini, wataalamu
meli husika imefunga katika eneo lenye mitambo maalumu in
mabomba kushusha shehena ya mzigo huo. Baada ya hatua hiyo k
na Afisa Mkuu wa Meli hukabidhi nyaraka za mzigo wa mafuta wal
wa TPA. Nyaraka hizo zinahusu taratibu mbalimbali zinazotakiwa
kushusha mafuta husika.
Baada ya makabidhiano ya nyaraka za utaratibu wa kupakua mafut
ni upimaji wa mafuta kwenye meli. Kazi hiyo hufanywa na wataal
mafuta (surveyors). Lengo la kupima mafuta kwenye meli ni k
yaliyomo kwenye meli na kiasi cha mafuta kilichoonyeshwa
zilizokabidhiwa kwa mamlaka husika. Wataalamu hao wa upimaji wanatoka kwenye kampuni
zinazotambuliwa na Serikali. Kikundi cha wataalamu hao ni k
Mapato Tanzania (TRA), Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa
mwagizaji wa mafuta na mpokeaji wa mafuta.
Hatua ya upimaji wa mafuta ikishakamilika ndipo kazi ya upakuaji
huanza kulingana na kila mteja alivyoagiza. Mafuta au gesi hu
mamlaka husika kutoa vibali vya kuruhusu upakuaji huo wa mafut
kujiridhisha ubora na uhalali wake kiviwango na ulipaji wa kodi
mbalimbali.
Kazi ya kupakua mafuta au gesi hufanywa na kumpelekea m
kulingana na aina ya mafuta aliyoagiza na kiasi cha mafuta al
husukumwa kwa kutumia pampu maalumu zilizomo kwenye
husukumwa na kupelekwa kwa mpokeaji kupitia mabomba yake ku
kwenye matanki yake ya kutunzia mafuta.
Katika kituo cha KOJ pamoja na kuhudumia mafuta ya bidhaa z
hicho kinahudumia meli za mafuta ya kula (vegetable oil) ambap
walau meli moja inayoleta mafuta ya kula. Mafuta hayo ya ku
kutumia mabomba tofauti na mabomba ya mafuta mengine. Wakati wa kupakua mafuta bandarini, tahadhari katika up
huchukuliwa kulingana na sheria na kanuni za usalama. Katika
Salaam kuna mitambo maalumu ya kuzimia moto endapo ajali
Mitambo hiyo hutumia maji na dawa maalumu ya kuzimia moto.
Pia kuna tugs ambazo zinaweza kutumika kuzima moto iwapo mot
upande wa baharini. TPA ina Jeshi imara la Zimamoto na Uokoa
kukabiliana na ajali za moto.
Kabla Serikali haijaanzisha Wakala wa uagizaji mafuta kwa pamo
mafuta ilikuwa inaagiza mafuta kivyake, hali iliyosababisha mso
nyingi ndogo ndogo bandarini. Kwa sasa meli za mafuta zinazoleta
kubwa, hatua iliyoondoa msongamano wa meli za mafuta katika

Salaam.
Iwapo una tatizo au swali kuhusu huduma za bandari usisite kuw
kupiga simu au kutuma meseji za bure kupitia namba 0800110032

Mwisho