Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne, Januari 9, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Ngoyai Lowassa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Lowassa ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na alitekuwa mgombea urasi wa mwaka 2015, amempongeza Rais Magufuli kwa Kazi nzuri na ametaja maeneo ambayo kazi kubwa imefanyika kuwa ni kutoa elimu bila malipo, ujenzi wa mradi wa umeme na mengine.

VIDEO: SHUHUDIA TUKIO HILO

4951 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!