Mtoto Msafiri Hassan ana umri wa miaka 12 mkazi wa Kitongoji cha Sanda Mkobani, Tarafa ya Mchinga, Lindi Vijijini ni mlemavu, hawezi kutembea hivyo anawaomba msaada wa kununuliwa kiti cha magurudumu ili aweze kwenda shule kama watoto wengine.

Kama umeguswa basi wasiliana naye kwa mawasiliano, +255718379858.

“KUTOA NI MOYO NA WALA SIO UTAJIRI”

 

1186 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!