Dakika ya 8: Mabao  0 -0

Dakika ya 12: Yanga wanapata kona

Dakika ya 15: Milango bado migumu Yanga 0- St Lous 0

Dakika ya 16: Buswita anapiga shuti linatoka  nje ya lango

Dakika ya 20: Penaaaaaati, Yanga wanapata penati, Hasani Kessy anaangushwa ndani ya 18

Dakika ya 22: Chirwa  anakosa penati, anapiga mpira unatoka nje

Dakika ya 24: Faulo kuelekea upande wa St. Lousi

Dakika 24: Ajib anapiga faulo unatoka njee ya lango

Dakika ya 29: Mabao bado 0-0

Dakika ya 33: Yanga wanakosa goli la wazi, ajibu anapaisha mpira njee ya lango

Dakika ya 38 : Yanga wanapata kona

Dakika ya 38 : Kona dot Yanga wanapata

Dakika ya 44: Mabao bado 0-0

Dakika ya 52: Yanga wanapata kona katika kipindi hiki cha pili

Dakika ya 56: mabao bado 0-0

Dakika ya 63: Ajibu anapaisha mpira nje ya lango la St. Lous

Dakika ya 69: Goooooo, yanga wanaandika goli la kwanza hapa mpenzi mfuatiliaji

Dakika ya 75: Yanga bado wanongoza kwa bao 1-0

Dakika ya 90: mpira umeisha Yanga wanaibuka na ushindi wa bao 1-0

 

 

 

3070 Total Views 4 Views Today
||||| 1 I Like It! |||||
Sambaza!