JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: live match

FULL TIME MWADUI FC VS SIMBA SC(2-2)

Refa anapuliza filimbi kuanshilia mtanange unaanza na Mwadui  ndio wanaanza mpira. Dakika ya 1:  simba wanarusha mpira. Dakika ya 8 : faulo kuelekea lango la mwadui Dakika ya 9: Goooooooooooo Boko anawanyanyua mashabiki vitini, simba 1 Dakika ya 11: Simba…

FULL TIME YANGA SC VS ST LOUS (1-0)

Dakika ya 8: Mabao  0 -0 Dakika ya 12: Yanga wanapata kona Dakika ya 15: Milango bado migumu Yanga 0- St Lous 0 Dakika ya 16: Buswita anapiga shuti linatoka  nje ya lango Dakika ya 20: Penaaaaaati, Yanga wanapata penati,…

Full Time Simba vs Azam (1-0)

Dakika ya 3: Simba wanapata kona ya pili Dakika ya 4: azam wanakosa goli mpira wa kichwa unatoka juu ya lango la Simba Dakika ya 6: Ofside upande wa simba mchezaji wa Azam emezidi Dakika ya 8: mabao bado 0-0,…

FULL TIME YANGA VS URA KOMBE LA MAPINDUZI NUSU FAINALI (5-4), YANGA NJEE, URA YATINGA FAINALI

Dakika ya 2:  URA wanapata kona ya kwanza Dakika ya 10:  URA wanapata faulo karibu kabisa na lango la Yanga Dakika ya 15: matokeo bado 0-0, lakini mpira ni mkali sana kila mashambulizi zamu kwa zamu Dakika ya 20: matokeo…

FULL TIME: WEST BROMWICH ALBION VS ARSENAL MATOKEO 1-1

Dakika ya 4: Mchezo umeanza kwa kasi kiasi. Dakika ya 7:  west bromwich wanakosa goli, Jay Rodriguez anaunganisha kwa kichwa lakini kipa wa arsenal anadaka Dakika ya 9: Mpira wa kurusha kuelekea upande wa west bromwich. Dakika ya 12: West…