Refa anapuliza filimbi kuanshilia mtanange unaanza na Mwadui  ndio wanaanza mpira.

Dakika ya 1:  simba wanarusha mpira.

Dakika ya 8 : faulo kuelekea lango la mwadui

Dakika ya 9: Goooooooooooo Boko anawanyanyua mashabiki vitini, simba 1

Dakika ya 11: Simba wamecharuka, wanapata Kona shuti kali mlinda mlango anapangua na mpira unakuwa kona

Dakika ya 17: Mwadui wanapata faulo kuelkeza lango la Simba

Dakika ya 18: Kona, simba wanapata, inapigwa na kichuya

Dakika ya 21: Simba wanapata tena kona

Dakika ya 23: Boko anachezewa faulo na mpira unapigwa kuelekeablangoni kwa Mwadui

Dakika ya 30: Faulo kuelekeza lango la simba sio mbali na lango la simba

Dakika ya 30: Simba wanafanya mabadiliko John Bocco anatoka na nafasi yake imechukuliwa na Mavugo

Dakika ya 33:  Mwadui wanapoteza nafasi ya wazi kabisa

Dakika ya 38: Kona simba wanapata

Dakika ya 40: Simba 1 – Mwadu 0, Mpira bado ni mkali

Dakika ya 41: Mwadui wanpiga mashine moja inapaa juu ya lango la Simba

Dakika ya 43: Refa anaomba maji ya kunywa mpenzi mfuatiliaji

Dakika ya 45: Mpira mapumziko Simba wako mbele kwa bao 0-1

Dakika ya 49: Simba bado wanaongoza bao 1

Dakika ya 56: Simba bado wanaongoza, kiwango cha mavugo akilidhishi hapa uwanjani inapelekea mashabiki wanamzomea

Dakika ya 58: Goooooooooooo, Mwadui wanachomoa, Faulo ya David Luende inakwenda moja kwa moja langoni mwa simba, Mwadui 1- Simba 1

Dakika ya 62: Mwadui wamecharuka, wanapata faulo, pale pale walipopata goli

Dakika ya 67: Penaaaati penaati, Simba wanapata penati, Okwi anaangushwa ndani ya Sebure

Dakika ya 70: Okwiiiiiiii. Goooooooooo, Simba 2 Simba 2, simba 2  Mwadui 1

Dakika ya 74: Mchezaji wa Mwadui anajiangusha ndani ya sebure la Simba na refa anasema hakuna penati, na uwesu anapewa kadi ya njano kwa kujiangusha

Dakika ya 79: Kona mwadui wanapata, ali uwesu anapiga lakini mpira unatoka nje

Dakika ya 81: mabao bado simba 2 mwadui 1

Dakika ya 84: Juko Mushidi anaonyeshwa kadi nyekundu, na simba wanacheza pungufu mpenzi mfuatiliaji

Dakika ya 89: Goooooooo, Mwadui wanachomoa Faulo ya Luende inamkuta paul nongwa anawasawazishia mwadui, Simba 2 mwadui 2

Dakika ya 91: Simba 2 – Mwadui 2 dakika 5 zimeongezwa

dakaka ya 95: Mwamuzi anapuliza filimbi mpira umekwisha Mwadui 2 – Simba 2

Sina mengi asente kwa kutufuatilia na Mungu Awabariki.

4261 Total Views 2 Views Today
||||| 2 I Like It! |||||
Sambaza!