Timu ya Simba leo inashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kuumana na Mwadui Fc kwenye uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga.

Simba ndio vinara wa ligi hiyo baada ya kujikusanyia point 41 ikiwa imecheza michezo 17, huku mwadi akiwa kwenye nafasi ya 16 imenjikusanjia point 17 baada ya kucheza michezo 12

Mwadui wanaweza kuwa na wakati mgumu kwenye mchezo huo kutokna na timu ya samba msmu huu kuonekana wamezamilia kuchukua ubingwa bira kufungwa, maana samba mpaka sasa ndio timu pekee kwenye ligi kuu Tanzania bara ambayo haikupoteza mcheza hata mmoja.

Kingine kinaweza kuwapa mchezo mgumu mwadui kutoka na mechi ya jana watani zao Yanga Sc kuipbuka na ushindi wa mabao 4-0, hivyo samba haitakubali kupoteza mchezo huo, ingawa Mwadui wanafaida ya kuwa nyumbani.

Vikosi vya timu zote mbili kwenye mchezo huo ni hivi hap

Mwenyeji Mwadui

Anold Massawe,

Revocatus Richard,

David Luhende,

Joram Mgeveke,

Iddy Mfaume,

Awesu Awesu,

Jean-Marie Girukwishaka,

Paul Nonga,

Evarigestus Mjwahuki,

Miraji Athuman. SUB: Dionis, Malaki, Salum, Matogolo, Rajabu, Mathias, Salvatory.

 

KIKOSI CHA SIMBA SC

Aishi Manula,

Shomari Kapombe,

Mohamed Hussein,

Juuko Murshid,

Yusuph Mlipili,

Erasto Nyoni,

Shiza Kichuya,

Said Ndemla,

Emmanuel Okwi,

John Bocco,

James Kotei.

 

SUB: Mseja, Ally Shomary, Mavugo, Gyan, Kazimoto, Yassin, Bukaba.

 

MECHI HII TUTAIRUSHA LIVE HAPA HAPA JAMHURI MEDIA WEBSITE, HUSIKAE MBALI NASI.

 

 

 

 

4370 Total Views 4 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!