FULL TIME YANGA VS URA KOMBE LA MAPINDUZI NUSU FAINALI (5-4), YANGA NJEE, URA YATINGA FAINALI

Dakika ya 2:  URA wanapata kona ya kwanza

Dakika ya 10:  URA wanapata faulo karibu kabisa na lango la Yanga

Dakika ya 15: matokeo bado 0-0, lakini mpira ni mkali sana kila mashambulizi zamu kwa zamu

Dakika ya 20: matokeo bado 0-0

Dakika ya 25: Kona ya pili URA wanapata

Dakika 28: Tshimbi anafanyiwa rafu na mpira unakuwa faulo kuelekezwa langoni mwa URA

Dakika ya 35: matokeo bado 0-0

Dakika ya 36: Ajibu anapiga faulo unagonga ukuta wa URA

Dakika ya 40: matokeo bado 0-0

Dakika ya 44: Yanga wanapata faulo karibu kabisa na lango la URA, Ajibu anapiga mpira unatoka nje ya lango la URA

Dakika ya 46:  Kipindi cha pili kinaanza matokeo bado 0-0

Dakika ya 55: Yanga wanafanya mabadiliko Chirwa anaingia anatoka Buswita

Dakika ya 66:  URA wanapata kona na mpira unaokolewa na mabeki wa Yanga

Dakika ya 80:  Matokeo bado 0-0, mpira ni mkali sana mpenzi mfuatiliaji

Dakika ya 82:  Mpira umepenya kwenye nyavu unaingi golini lakini si goli mpezi mtizamaji huwezi amini kilichotokea nyavu zimetoboka na kusababisha utata mkubwa mpaka wachezaji wa URA wamepewa kadi za njano

Dakika ya 85: Yanga wanafanya Mabadiliko Gadiel Michael anatoka nafasi yake inachukuliwa na Emanuel Martini

Dakika ya 90:  Matokeo bado 0-0

Dakika 2 zimeongezwa: matokeo bado 0-0

Full time  Matokeo 0-0

########################################

MIKWAJU YA PENATI SASA ILI KUMPATA MSHINDI

YANGA  ———————————————– URA

YANGA  1                                                         URA  1

YANGA   1                                                         URA 1

YANGA 1                                                          URA 1

YANGA 1                                                          URA 1

YANGA  X                                                          URA 1

 

URA yatinga fainali

 

3962 Total Views 1 Views Today
||||| 1 I Like It! |||||
Sambaza!
Tags :
Show Buttons
Hide Buttons