Dakika ya 4: Mchezo umeanza kwa kasi kiasi.

Dakika ya 7:  west bromwich wanakosa goli, Jay Rodriguez anaunganisha kwa kichwa lakini kipa wa arsenal anadaka

Dakika ya 9: Mpira wa kurusha kuelekea upande wa west bromwich.

Dakika ya 12: West bromwitch wanapata kona ya kwanza  mpenzi mfuatiliaji na inachongwa na Chris Brunt

Dakika ya 13:  Mabao bado 0-0 lakini West bromwich wanalishambulia goli la Arsenal kama nyuki

Dakika ya 15:  Goli  Kiki Alex Iwobi anapaisha mpira juu ya lango la west bromwich

Dakika ya 17 Jack Wilshere anapoteza mpira kizembe sana mpenzi mfuatiliaji

Dakika ya 21: West bromwitch wanapata kona inapigwa na Chris Brunt

Dakika ya 26: Faulo west bromwich wanapata nje kidogo ya ndani ya kumi na name na inapigwa na mpira unapaa juu ya lango la Arsenal

Dakika ya 27:  Granit Xhaka wa Arsenal anapiga kijishuti na kipa anadaka

Dakika ya 83: Goooooo! James McClean anajifunga mwenyewe na kuandikia Arsenal bao la 1

Dakika 88: Penati West Bromwich wanapata penati, na inakwendakupigwa na Jay Rodriguez

Dakika 89: Gooooooo!  Jay Rodriguez anaisawazishia West Bromwich kwa kufunga mkwaju wa penati na kufanya matokeo 1-1

Dakika 90: Refa anapuliza filimbi ya mwisho kumaliza mpira na Matokeo bao 1-1

1225 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!