Baada ya kuongeza Philippe Coutinho mwezi uliopita, Meneja wa Klabu ya Liverpool, Brendan Rodgers, sasa anahitaji kuongeza kiungo mwingine, Manuel Iturra, kwenye kikosi chake.

 

Klabu ya Malaga ilisaini na kiungo huyo  msimu uliopita lakini mkataba huo ulifutwa mwishoni mwa msimu huo, hivyo kumweka huru.


969 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!