Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu aachiwa huru

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wameachiwa huru leo jijini Mbeya.

Wawili hao walikuwa katika Gereza la Ruanda Jijini Mbeya walikokuwa wakitumikia kifungo cha miezi (5) baada ya kukutwa na hatia ya kutoa lugha ya kumkash Rais Dkt Magufuli.

Hukumu hiyo ilitolewa Februari 26 mwaka huu na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Michael Mteite baada ya na ushahidi wa upande wa mashtaka.

1532 Total Views 1 Views Today
||||| 1 I Like It! |||||
Sambaza!

Comments

comments

Show Buttons
Hide Buttons