Yanga inavyoipiku Simba

Hatua ya uongozi wa Yanga kuingia mkataba na kampuni ya kimataifa ya ujenzi inayojulikana kama Beijing Constructions ya China, imezidi kuwapiku mahasimu wake wakubwa wa soka nchini, Simba, kutokana na kuendelea kuwazidi kete ya mafanikio ndani na nje ya uwanja.…
Soma zaidi...