Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya wananchi wa Katesh wilayani Hananga waliopo kwenye kambi ya muda ya watu waliopoteza nyumba zao katika mafuriko yaliyotokea Katesh mkoani Manyara.   Aliitembelea kambi hiyo, Desemba 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Baadhi ya magodoro ya ziada katika kambi ya muda ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea Katesh mkoani Manyara.  Waziri Mkuu Kassim MKajaliwa alitembelea kambi hiyo, Desemba 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)