Latest Posts
Tanzania na Urusi kushirikiana kudhibiti uhalifu wa kimtandao
Serikali imedhamiria kushirikiana na nchi ya Urusi katika kudhibiti uhalifu nchini ikiwemo uhalifu wa mtandao ambao umeanza kushamiri katika maeneo mbalimbali nchini huku ikiweka wazi dhamira ya kujengewa uwezo kwa askari wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa kushirikiana na…
Waliojichukulia sheria mkononi Engikaret kusakwa
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi – Longido Arusha Jeshi la Polisi kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo kimesema hakuna sheria inayomruhusu mtu yoyote kujichukulia sheria Mkononi huku likibainisha kuwa tayari linayomajina ya watu waliojichukulia sheria Mkononi na kubomoa nyumba…
DC, Mkurugenzi Kilombero wakagua maeneo yaliyokumbwa na mafuriko
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Dustan Kyobya na Mkurugenzi wa Ifakara Mji Zahara Michuzi , wamefika eneo la kingo za mto Lumemo ambao umejaa sana kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kuleta mafuriko kwenye makazi na taasisi za umma na binafsi….
Zanzibar yaadhimisha Siku ya Vinasaba Duniani
Na Rahma Khamis – Maelezo Zanzibar Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui amewataka Mawakala wa Maabara ya Serikali kuendelea kuwa waaminifu na waadilifu katika kazi zao za kiuchunguzi wa matatizo ili wananchi waamini majibu yanayotolewa na…
Pwani yajipanga mbio za mwenge licha ya changamoto mvua na mafuriko
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKOA wa Pwani umejipanga katika mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, licha ya changamoto ya mafuriko katika baadhi ya maeneo, ambapo Mwenge huo utapokewa April 29 ukitokea mkoani Morogoro. Mkuu wa mkoa wa Pwani, alhaj…
TFS yatoa milioni 20 waathirika wa mafuriko Rufiji, Kibiti
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani WAKALA wa huduma za misitu Tanzania (TFS) imemkabidhi Mkuu wa mkoa wa Pwani kiasi cha sh.milioni 20 kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Wilayani Rufiji na Kibiti. Aidha imetoa eneo Chumbi Rufiji lenye viwanja 600 ili…





