Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa kilele cha Tamasha la Kizimkazi katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024.

Viongozi mbalimbali waliohudhuria kwenye Kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa kilele cha Tamasha la Kizimkazi katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024.

Please follow and like us:
Pin Share