Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 agosti, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 agosti, 2024.