Latest Posts
Rais wa Ujerumani kufanya ziara Tanzania
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi nchini kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 01 Novemba 2023. Ziara hio mbali na kudumisha uhusiano wa kidiplomasia na…
Othman atoa rai kwa jamii kuzingatia utambuzi wa ardhi kuepusha dhulma na migogoro
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, ametoa rai kwa Mamlaka pamoja na Jamii, kuzingatia Utambuzi wa Ardhi, ili kuepusha dhulma na migogoro, juu ya raslimali hiyo muhimu nchini. Mheshimiwa Othman ametoa…
Waziri Mavunde apokea changamoto za wachimbaji wadogo Itumbi
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Chunya Waziri wa Madini Anthony Mavunde apokea changamoto mbalimbali za wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wilayani Chunya mkoani Mbeya katika machimbo ya Itumbi akiwa katika ziara maalum ya kikazi. Waziri Mavunde akiambatana na Mkuu wa Wilaya…
TaSUBa kitovu cha mafunzo tasnia za sanaa na utamaduni nchini- Dk Biteko
#Amefunga tamasha la 42 la Kimataifa la Utamaduni Bagamoyo #Aipongeza Wizara kwa kutangaza utamaduni wa nchi #Sanaa iwe nyenzo kuunganisha wananchi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Imeelezwa kuwa, Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) ni kitovu cha mafunzo katika tasnia…
Mifugo 400 yakamatwa ikisafirishwa nje ya nchi bila kuwa na vibali
Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi limefanikiwa kukamata jumla ya mifugo 400 ambayo ilikua inasafirishwa kwenda Nje ya Nchi bila kufuata utaratibu. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi…
Dk Mpango ashauri taaasisi za fedha kuweka masharti ya upendeleo mikopo ya viwanda vidogo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Taasisi za fedha nchini kuweka masharti ya mikopo ya upendeleo kwa Viwanda vidogo na vya kati ili kukuza uzalishaji na…