JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Chana aongoza maelfu kuaga miili ya watu 11 waliofariki kwenye ajali lori Arusha

Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt. Pindi Chana ameongoza maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wa Arusha kuaga na kutoa heshima ya mwisho kwa Miili ya marehemu waliofariki katika ajali mbaya iliyohusisha lori na magari madogo…

Yanga : Hatuendi Misri kununua kanzu, tunataka kuongoza kundi

Na Isri Mohamed Baada ya kumaliza kibarua chao dhidi ya CR Belouizdad kwa kuwapa kichapo cha mabao manne kwa nunge yaliyowafikisha hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika, klabu ya Yanga inatarajia kusafiri leo kuelekea nchini Misri kwa…

Serikali kujenga viwanda vya kuchakata samaki Kilwa, Fungurefu

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)imesaini Mkataba wa upembuzi yakinifu wa ununuzi wa meli za uvuvi wa bahari kuu na ujenzi wa viwanda viwili vya kuchakata samaki Kilwa na Fungurefu utakaogharimu jumla ya…

Kamati ya Mawaziri wanne wa kisekta yakoshwa na utatuzi migogoro ya ardhi Ruvuma

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Kamati ya Mawaziri Wanane wa Kisekta inayoongozwa na Mwenyekiti wake Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Jerry Silaa imeupongeza uongozi wa Mkoa wa Ruvuma kwa kufanikiwa kutatua migogoro 15 ya ardhi kwenye vijiji…

Serikali inakamilisha taratibu za malipo kwa wakazi wa Nyatwali – Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kukamilisha utaratibu wa malipo ya wananchi waliohamishwa katika eneo la Nyantwali ili kupisha hifadhi na mapito ya wanyama. “Naomba muwe watulivu, tathmini ilikwishafanyika na sasa Serikali inakamilisha taratibu za…

Pinda : Tumieni kituo cha redio Mpimbwe kutangaza mazao ili kupata masoko

Na Munir Shemweta, JamhuriMedia, Katavi             Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amewataka wanawake wa Mpimbwe katika wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi kukitumia kituo cha redio Jamii cha Mpimbwe fm…