Bosi TBS hachomoki

*CAG aanika madudu mengine mapya*Omo, Blueband, mafuta ya ndege hatari*Pikipiki feki, vinywaji hatari kwa walaji*Aruhusu Kobil wachakachue mafutaMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ametoa taarifa ya ukaguzi maalumu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), na kuibua mambo…
Soma zaidi...
Siasa

Wakubwa wanavyotafuna nchi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utoah, akiwasilisha ripoti ya ukaguzi kwa mwaka wa fedha wa 2009/2010 kwa waandishi wa habari bungeni mjini Dodoma, wiki iliyopita*Kampuni ya Mohamed Enterprises yauziwa viwanja kinyemela*Bandari watumbua zaidi ya bilioni ,…
Soma zaidi...

Ni vita ya rushwa, haki

Uchaguzi wabunge EALA… Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano leo wanatarajia kuchangua wabunge tisa watakaoiwakilisha Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Uchaguzi huu unaelezwa na wafuatiliaji wa masuala ya kisiasa kuwa ni vita kati ya rushwa na haki.…
Soma zaidi...
Siasa

CCM hofu tupu

Rais Jakaya KikweteMwenyekiti Mkoa atoboa siri nzitoWakati kukiwa na dalili za kuwapo uchaguzi mdogo Jimbo la Arusha Mjini, hali ya mambo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeelezwa kuwa mbaya. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, Onesmo ole Nangole, ameonyesha…
Soma zaidi...