Mkaa ni janga la kitaifa

Nimemsikia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, aliihoji Serikali ili ieleze mipango ya haraka ya kuokoa theluji katika Mlima Kilimanjaro. Kauli ya Mbowe ilitokana na maelezo ya waziri mwenye dhamana aliyesema kwamba thethuji katika mlima huo…
Soma zaidi...

Waislamu wapuuzeni kina Ponda

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza rasmi kutoshiriki sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti, mwaka huu. Baraza limesema litabadili msimako wake endapo ombi la Waislamu la kuingizwa kwa kipengele cha dini kwenye dodoso la sensa, litakubaliwa.  …
Soma zaidi...