JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dotto Bahemu amechukua fomu ya kugombea ubunge Ngara

KutokaNgara Mkuu wa vipindi Clouds TV ambaye pia ni Muasisi na Mratibu wa programu ya #Kurasa365ZaMama @dottobahemu_ leo amewasili katika ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Ngara na kuchukua fomu kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama…

Majaliwa : Nimelitumikia Jimbo la Ruangwa miaka 15 inatosha, asanteni

WAZIRI MKUU, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa jimbo la Ruangwa baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa miaka 15. Akizungumza na wajumbe wa kamati ya Siasa ya Mkoa…

UN: Mamilioni ya wakimbizi Sudan wanakabiliwa na njaa

Mamilioni ya watu wanaokimbia vita nchini Sudan wanakabiliwa na kitisho kikubwa zaidi cha njaa, wakati wakisaka hifadhi kwenye nchi ambazo tayari zina uhaba wa chakula. Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, WFP lilisema siku ya Jumatatu kwamba wakimbizi zaidi ya…

Jeshi la Israel latangaza kutanua operesheni za kijeshi Gaza

Jeshi la Israel limesema jana Jumanne kwamba limetanua operesheni zake kwenye Ukanda wa Gaza siku chache kabla ya ziara ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, mjini Washington. Wakazi wameripoti mapigano makali siku chache kabla ya ziara ya Waziri Mkuu…

…Wabunge ‘mabubu’ hawa hapa

*Takwimu zawaonyesha ambao kwa miaka mitano hawajawahi kuzungumza lolote bungeni *Yaani hawakutoa hoja, kuchangia hoja, kuuliza swali la msingi wala kuuliza swali la nyongeza Na Dennsi Luambano , JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati wabunge wakijipambanua kuwa ni wawakilishi wa wananchi…

Wanawake wanne, wanaume 12 wajitosa kumvaa Koka Jimbo la Kibaha Mjini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MWENYEKITI wa Shirikisho la Watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) Mkoa wa Pwani Tatu Kondo amechukua fomu ya Udiwani Vitimaalum Kibaha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tatu amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jumuiya ya Umoja…