Rais Magufuli akiweka maua juu ya kaburi la Marehemu Kingunge Ngombale Mwiru

Rais dkt. Magufuli leo ameshiriki maziko ya mwanasiasa mkongwe marehemu mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini dar es salaam

Mazishi hayo pia yaliuzuriwa na Marais wastafufu, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete, pamoja na Viongozi wengine wa Serikali na wa vyama vya siasa akiwepo Waziri mstaafu Lowassa na Mwenyekiti wa CHADEMA  Mh. Mbowe.

 

1808 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!