Mkurugenzi wa Mawasilano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa nayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa Rais Dkt Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Hamis Kigwangalla

Msigwa amewataka wananchi kuipuuza taarifa hiyo kwani ni upuuzi.

Hapa chini ni taarifa hiyo iliyotengenezwa na wahalifu wa mitandao.

By Jamhuri