BAJETI YA 2018/2019 Tutakakofanikiwa, tutakakofeli
DAR ES SALAAM NA FRANK CHRISTOPHER Ikiwa ni bajeti ya tatu kwa Serikali ya Awamu ya Tano, bajeti ya mwaka 2018/2019 iliwasilishwa bungeni Juni 14, mwaka huu ikilenga vipaumbele mbalimbali na hasa katika ujenzi wa msingi wa uchumi wa viwanda pamoja na sera za fedha na bajeti zinazokusudia kuimarisha ukusanyaji mapato na usimamizi wa…