Tag Archives: HESLB

BODI YA MIKOPO YASITISHA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA

Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesitisha mpango wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wanaosoma stashahada (diploma) kuanzia mwaka wa masomo 2018/2019 kama ilivyokuwa imetangaza Mei 10 mwaka huu. HESLB ilitoa mwongozo unaosimamia utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019 ambao ulieleza kuwa ingeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa stashahada na kuwa utaratibu wa ...

Read More »

WASIORUDISHA MIKOPO HESLB WADHIBITIWE

Moja ya maeneo yanayotajwa mara kwa mara kuliwezesha Taifa kukabiliana na maadui watatu yaani ujinga, maradhi na umasikini ni uboreshaji wa sekta ya elimu na ongezeko la wataalamu na wanataaluma wa ndani. Sekta ya elimu inayoanzia ngazi ya msingi hadi elimu ya juu imo kwenye orodha ya sekta zinazokabiliwa na changamoto nyingi huku zikiendelea kuongoza kwa umuhimu wake kwa jamii. ...

Read More »

BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU YATANGAZA MSAKO KWA WADAIWA SUGU

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) imesema kuanzia Jumatatu ijayo, Januari 8, 2017 itaanza kukagua taarifa za mishahara za waajiri (payroll) ili kubaini waajiri ambao wanawasilisha kiwango kidogo cha mikopo ya wafanyakazi wao ambao ni wanufaika wa mikopo hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo, Abdul-Razaq Badru amesema wanufaika wengi wa mikopo, wakiwemo wadaiwa sugu, wameonesha ushirikiano ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons