Hakuna Wakuwazuia Tena Manchester City Kubeba Kombe

Klabu ya Manchester city jana Jumapili wakiwa uwanja wao wa nyumbani wa Etihad walifanikiwa kuchomoza na ushidi wa bao 1-0 dhidi ya Chelsea bao lilifungwa na Bernardo Silva Dakika ya 46 kipindi cha pili cha mchezo. Ushindi huo Manchester City umezidi kuwaimarisha kileleni mwa ligi kuu ya England kwa kujikusanyia alama 78 wakifuatiwa na klabu…

Read More

Jose Mourinho Aongeza Mkataba Manchester United

Kocha Jose Mourinho akipongezana na Ed Woodward (kushoto) baada kuweka wino mpya. Kocha Jose Mourinho sasa ataifundisha Manchester United hadi mwaka 2020. Mourinho raia wa Ureno ameongeza mkataba huo wa miaka mitatu kwa mwaka mmoja zaidi. Pamoja na kwamba mashabiki wamekuwa wana hofu huenda ataondoka lakini uongozi unaonekana kumuamini zaidi. VIKOMBE ALIVYOBEBA AKIWA NA UNITED:…

Read More

Ozil, Kutimkia Old Traford

Klabu ya Manchester United ya Uingereza iko mbioni kumuuza mchezaji wake Henrikh Mkhitaryan ili kupata pesa za kumsajili kiungo wa klabu ya Arsenal, Mjerumani Mesut Ozil. Mchezaji huyo anatarajiwa kumaliza mkataba wake ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu hali inayoilazimu klabu yake kumuuza katika dirisha dogo la mwezi Januari au aondoke bure mwishoni…

Read More