UKIPOTEZA MUDA, MUDA UTAKUPOTEZA ZAIDI
“Ukitaka kujua umuhimu wa mwaka mmoja muulize mwanafunzi ambaye amerudia darasa. Ukitaka kujua umuhimu wa mwezi mmoja muulize mwanamke ambaye amejifungua mtoto kabla ya mwezi mmoja. Ukitaka kujua umuhimu wa juma moja muulize mhariri wa gazeti linalotoka kila wiki. Ukitaka kujua umuhimu wa siku moja muulize mtu mwenye kibarua cha kulipwa kwa siku wakati ana…