Tag Archives: page za ndani

Hongera Hospitali ya Sinza Palestina

Wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ndivyo Mpita Njia (MN) anavyoweza kusema baada ya kupata huduma katika Hospitali ya Sinza (Sinza Palestina). Tangu zama za Awamu ya Pili ya uongozi wa taifa letu, Mpita Njia amekuwa mgumu kuziamini huduma zinazotolewa kwenye hospitali za umma. Enzi zake, wakati wa Mzee Kifimbo, Mpita Njia anakumbuka namna wagonjwa walivyodeka. Walitibiwa bure. Waliolazwa ...

Read More »

Ndugu Rais wastaafu walichotuambia tumekielewa?

Ndugu Rais, mwanadamu mambo yake yanapomwendea kwa ufanisi mkubwa haombi ushauri. Anaomba ushauri yule ambaye kuendelea kwake kunampatia wasiwasi. Ndiyo kusema kama tumekubali kuwa tunahitaji ushauri kutoka kwa viongozi wetu wakuu wastaafu sasa, tunakiri kuwa kuna tatizo katika kuongoza au kutawala kwetu. Tukishakiri hivyo, tuwe tayari kutubu. Baadhi ya viongozi wakuu wastaafu walionekana dhahiri kuwa hawakujua walichoitiwa. Waliposema waliishia kumsifia ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons