Tag Archives: wabunge wa chadema

MBUNGE  SUGU ANYIMWA DHAMANA ARUDISHWA RUMANDE

Mbunge Joseph Mbilinyi “Sugu”.   MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amepelekwa mahabusu katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya baada ya kukosa dhamana katika kesi ya uchochezi inayomkabili. Sugu na Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya leo Januari 16 na kupelekwa mahabusu jana Jumanne Januari 16, baada ya ...

Read More »

TUNDU LISSU AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI NAIROBI

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), leo Ijumaa Januari 5, 2017 kwa mara ya kwanza tangu ajeruhiwe amezungumza na waaandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya anakopatiwa na kusema kilichotokea kwake kwa maoni yake ilikuwa ni mauaji ya kisiasa moja kwa moja “Political Assassination”. Lissu ameeleza kuwa risasi 16 zilimpiga mwilini mwake huku risasi nane zikitolewa Dodoma na risasi ...

Read More »

KESI YA LEMA KUTOA MANENO YA UCHOCHEZI DHIDI YA JPM: USHAHIDI WAANZA KUTOLEWA

Shahidi wa kwanza katika kesi ya kudaiwa kutoa lugha ya uchochezi dhidi ya Rais John Magufuli inayomkabili mbunge wa jimbo la Arusha mjini, Godbless Lema ameieleza mahakama kwamba  alimtolea bastola mbunge huyo kwa kuwa alikuwa akijaribu kutoroka. Shahidi huyo, Damas Masawe (44) ambaye ni mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha (OC-CID)  ameileza Mahakama hiyo kwamba mnamo Juni 22 mwaka jana alilazimika kuchomoa ...

Read More »

ALIYETEULIWA KUWANIA UBUNGE WA SINGIDA KASKAZINI KWA TIKETI YA CHADEMA AJIENGUA

SIKU moja baada ya NEC kuanika majina ya wagombe huku jina lake likitajwa kuwa miongoni mwao, Djumbe Joseph aliyepitishwa na (NEC) kugombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameandika barua ya kujitoa katika uchaguzi mdogo ambao unatarajiwa kufanyika Januari 13, 2018 kwa kile alichosema anafuata msimamo wa chama chake. Akizungumza na waandishi ...

Read More »

Msigwa, Mtolea Watoa Sababu ya Wapinzani Kuhamia CCM

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema wanasiasa wanaohama kutoka vyama vya upinzani kwenda CCM, wanafanya uamuzi huo kutokana na uoga. Msigwa amesema hay oleo Ijumaa wakati akihojiwa katika kipindi cha Morning Trumpet kilichorushwa na televisheni ya Azam akiwa na Mbunge wa Temeke, (CUF) Abdallah Mtolea. Msigwa amesema kufanya siasa ndani ya CCM kuna urahisi kuliko kufanya nje ya ...

Read More »

Lijualikali na Kiwanga Wapata Dhamana

Mahakama ya Hakimu Makazi Morogoro imewaachia kwa dhamana wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Disemba 7. Wabunge hao walioachiliwa ni Peter Ambrose Lijualikali ambaye ni Mbunge wa Kilombero na Susan Limbweni Kiwanga ambaye ni Mbunge wa Mlimba. Katika kesi hiyo ya jinai namba 296, wabunge hao pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA zaidi ya 30 wanakabiliwa ...

Read More »

Wabunge wa Chadema Warudishwa Tena Rumande

Morogoro. Wabunge Susan Kiwanga na Peter Lijualikali waliofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro pamoja na washtakiwa wengine 36 wamerejeshwa rumande. Mahakama iliyokuwa itoe uamuzi wa dhamana leo Jumanne Desemba 5,2017 imekwama kufanya hivyo kutokana na kuibuka hoja za kisheria. Upande wa mashtaka na ule wa utetezi unavutana kuhusu hati ya kiapo ya kupinga dhamana iliyowasilishwa mahakamani hapo. Kutokana na ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons