Tag Archives: waziri mkuu

WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA WILAYA YA KYERWA WAJIPIME

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechukizwa na biashara za magendo zinazoendelea katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hivyo amewataka viongozi wa wilaya hiyo wajipime wenyewe.   Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kagera Bw. Adam Ntogha kumsimamisha kazi Afisa wa Forodha katika mpaka wa Mulongo  Bw. Peter Mtei kwa tuhuma za kujihusisha na biashara za magendo.   ...

Read More »

Waziri Mkuu Achukizwa na Biashara za Magendo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechukizwa na biashara za magendo zinazoendelea katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hivyo amewataka viongozi wa wilaya hiyo wajipime wenyewe. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kagera Bw. Adam Ntogha kumsimamisha kazi Afisa wa Forodha katika mpaka wa Mulongo  Bw. Peter Mtei kwa tuhuma za kujihusisha na biashara za magendo. Ametoa agizo ...

Read More »

WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU MICHANGO YA SHULE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hakuna michango yoyote itakayokusanywa kutoka kwa wazazi kwa ajili ya shule kama haina kibali cha Mkurugenzi wa Halmashuri.   “Mheshimiwa Rais wetu, Dkt. John Pombe Magufuli alishapiga marufuku michango ya aina hii na akatangaza mpango wa elimumsingi bila malipo. Sasa hivi zinaletwa zaidi ya sh. bilioni 20 kila mwezi kwa ajii ya kuboresha elimu ya ...

Read More »

Waziri Mkuu Matatani

UKWAPUAJI MALI ZA CCM   Waziri Mkuu yumo *Anunua shule ya Chama, abanwa, airejesha chapuchapu *Yeye, Dk. Bashiru Ali wakwepa waandishi wa JAMHURI *Wajumbe NEC wataka achunguzwe mali anazomiliki *Wamlinganisha Rais Magufuli na Nyerere kwa uadilifu     NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM   Kamati ya Kufuatilia Mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM), imegundua madudu ya kutisha katika jumuiya ...

Read More »

WAZIRI MKUU ASHIRIKI UJENZI WA UWANJA MPYA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki kazi za ujenzi wa uwanja mpya wa michezo wilayani Ruangwa kwa kubeba zege na matofali pamoja na wananchi.   Waziri Mkuu ambaye pia ni mbunge wa Ruangwa, ameshiriki zoezi hilo leo (Ijumaa, Mei 25, 2018) kwenye uwanja huo unaojengwa katika kijiji cha Dodoma, kata ya Nachingwea, wilayani Ruangwa, mkoani Lindi.   Akizungumza na wananchi na ...

Read More »

​WAZIRI MKUU AKEMEA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekemea uharibifu wa makusudi ​wa miundombinu ya barabara na majengo unaofanywa na baadhi ya wananchi na kuwataka waache tabia hiyo mara moja.   Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Alhamisi, Mei 17, 2018) Bungeni mjini Dodoma katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu wakati akijibu swali la Mbunge wa Magu, Bw. Kiswaga Destery ...

Read More »

WAZIRI MKUU AWATAKA VIJANA WAFANYE KAZI KWA BIDII NA MAARIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wafanye kazi kwa bidii na maarifa kwa sababu kazi ndiyo msingi wa maendeleo yao na Taifa kwa ujumla.   Pia amewasihi wananchi wanaoishi katika maeneo ya mipakani wahakikishe suala la kulinda mipaka hiyo linapewa kipaumbele ili kuimarisha amani na utulivu nchini.   Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Machi 24, 2018) wakati akizungumza ...

Read More »

UFARANSA YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUPAMBANA NA RUSHWA

SERIKALI ya Ufaransa imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa mapambano dhidi ya rushwa na inaamini fedha zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali zitatumika kama ilivyokusudiwa. Kauli hiyo imetolewa leo (Jumatatu, Machi 05, 2018) na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Bw. Frederic Clavier alipomtembelea Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye makazi yake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Balozi Clavier amesema Ufaransa ...

Read More »

MSIUZE UFUTA WENU MASHAMBANI PELEKENI MINADANI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa ufuta katika mikoa inayolima zao hilo nchini kuuza kwa kutumia njia ya minada na si mashambani.   Ametoa agizo hilo leo (Jumamosi, Machi 03, 2018) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa vijiji vya Nachihungo, Narungombe na Chikwale.   Waziri Mkuu ambaye yuko wilayani Ruangwa kwa ziara ya kikazi amesema ili wakulima ...

Read More »

WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA USAMBAZAJI MAJI

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua mradi wa usambazaji wa maji kwenye vijiji vinavyopitiwa na mradi wa maji Mbwinji na ameridhishwa na unavyoendelea. Mradi huo unaosimamiwa na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Masasi-Nachingwea (MANAWASA) unatarajiwa kukamilika Machi 31, 2018. Waziri Mkuu alifanya ukaguzi huo jana (Alhamisi, Machi 01, 2018) katika kioksi cha kuchotea maji kilichopo kwenye kijiji cha ...

Read More »

MAJALIWA : UKIKUTWA NA MWANAFUNZI KICHOCHOLONI TUTAKUKAMATA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuwalinda watoto wa kike na ndiyo maana tunawataka watoe taarifa za watu wanaotaka kuwakwamisha kimasomo kwa watendaji wa vijiji kwenye maeneo yao. Alitoa agizo hilo wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wakazi wa wilaya ya Masasi akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani Mtwara. Waziri Mkuu alisema watoto wa ...

Read More »

Waziri Mkuu Asema Serikali Itaimarisha Masoko ya Mazao Nchini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inataka kuimarisha masoko ya mazao yanayolimwa nchini ili kuwawezesha wakulima kupata tija. Aliyasema hayo jana (Februari 2, 2018) wakati akikagua Kampuni ya Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), iliyoanzishwa kwa lengo la kuimarisha masoko. Alisema kupitia Wizara ya Kilimo, Serikali imedhamiria kuimarisha masoko  ya mazao yanayolimwa nchini ili kuwawezesha wakulima kujikwamua kiuchumi. “Kupitia Wizara ya Kilimo ...

Read More »

WAZIRI MKUU AKABIDHI KADI ZA MATIBABU KWA WAZEE 280

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amegawa kadi za matibabu kwa wazee 280 wa wilaya ya Serengeti mkoani Mara, kadi hizo zitawawezesha wazee hao kutibiwa bure. Amesema Serikali imedhamiria kuboresha huduma za afya kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kutoa matibabu bure kwa wazee walio na umri wa kuanzia miaka 60. Waziri Mkuu alikabidhi kadi hizo jana (Alhamisi, Januari 18, 2018) alipotembelea ...

Read More »

WAZIRI MKUU ASIMAMISHA UUZAJI WA MALI ZA KNCU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bibi Anna Mghwira asitishe uuzwaji wa mali za Chama cha Ushirika cha Kilimanjaro (KNCU). Ametoa agizo hilo jana jioni (Jumatano, Januari 17, 2018) wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Serengeti, wilayani Tarime. Hatua hiyo imekuja baada ya KNCU kutangaza kuuza shamba lake kwa ajili ya ...

Read More »

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WANAUME WA TARIME WAACHE UKATILI KWA WANAWAKE NA WATOTO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaasa wanaume wa wilaya ya Tarime kujiepusha na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto pamoja na kuachana na kilimo cha bangi. Alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumatano, Januari 17, 2018) wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Serengeti, wilayani Tarime. Waziri Mkuu alisema vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na ...

Read More »

MAJALIWA: SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA KITUO CHA SIRARI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na ubora wa ujenzi wa kituo cha forodha cha Sirari kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya. Kufuatia hali hiyo amemtaka Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)  afike ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma akiwa na mkandarasi aliyejenga kituo hicho. “Serikali haiwezi kuvumilia ujenzi wa hovyo kiasi hiki, namtaka Kamishna wa TRA aje ...

Read More »

WAZIRI MKUU ATATUA MGOGORO WA MIAKA MITATU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara ambao umedumu kwa miaka mitatu. Ametoa uamuzi huo leo (Jumatano, Januari 17, 2018) wakati akizungumza na watumishi na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime pamoja na Halmashauri ya Mji wa Tarime. Amesema amesitisha mpango huo wa ujenzi wa makao makuu ...

Read More »

WAZIRI MKUU AMKABIDHI MHANDISI WA MAJI KWA NAIBU WAZIRI TAMISEMI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemkabidhi Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya, Mhandisi Obetto Sasi kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Bw. Josephat Kandege baada ya kutoridhishwa na utendaji wake. Ametoa uamuzi huo jana jioni (Jumanne, Januari 16, 2018) wakati aliposimamishwa na umati wa wananchi kwenye mji Mdogo wa Shitari alipokuwa njiani kuelekea kwenye kijiji cha ...

Read More »

WAHUJUMU WA MIRADI YA MAJI MARA KUCHUKULIWA HATUA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawachukulia hatua watendaji wote watakaobainika kuhujumu ujenzi wa miradi ya maji mkoani Mara. Hatua hiyo imetokana na kutoridhishwa na utekelezwaji wa ujenzi miradi ya maji katika baadhi ya halmashauri za mkoa huo,hivyo kuwacheleweshea wananchi kupata huduma hiyo. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Januari 16, 2018) wakati alipokagua mradi wa maji wa Utegi uliopo ...

Read More »

MAJALIWA:SERIKALI HATUTASUBIRI KUWAUNDIA TUME WEZI, MAFISADI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma nchini wasijihusishe na vitendo vya wizi, ufisadi kwani Serikali haitosubiri kuwaundia tume za kuwachunguza bali itawashughulikia hapo hapo. Amesema Serikali haikotayari kuwavumilia watumishi wanaojihusisha na wizi, ubadhilifu, rushwa na uzembe, hivyo ni vema viongozi waliopewa dhamana wahakikishe wanatekeleza majukumu yao kwa uadilifu. Waziri Mkuu alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumatatu, Januari 15, ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons