Aliyekuwa mtangazaji maarufu wa kipindi cha bolingo time cha redio free ya Mwanza, Zuber Msabaha amefariki dunia na maziko yake ni leo Mabatini Jijini Mwanza.
Mungu ailaze roho ya marehemu Msabaha alikuwa na mvuto na uhodari wa kuendesha kipindi cha bolingo time.

2421 Total Views 1 Views Today
||||| 1 I Like It! |||||
Sambaza!