Mbowe: Tunaingia Ikulu Oktoba 2015
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anasema; “Rais Jakaya Kikwete na CCM yake wamekwama na atatukabidhi nchi Oktoba.” Mbowe, ambaye yuko kwenye ziara ya kuimarisha chama katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, anasema kwamba kukwama kwa CCM ni kushindwa kufuata hata ratiba ya kuteua mgombea wa chama hicho. “Niseme jambo moja…