Month: June 2017
Uvimbe na kutokwa damu kwenye njia ya haja kubwa
Unaweza kuhisi una uvimbe mdogo sehemu ya nje ya njia ya haja kubwa inayoambatana na muwasho na maumivu na wakati mwingine ukienda haja kubwa, kinyesi kinatoka kwa tabu sana na kadri unavyotumia nguvu kukisukuma ndipo maumivu kwenye ile njia ya…
Ujio wa Everton ni fursa
Tanzania imeendelea kunufaika kiuchumi na ujio wa baadhi ya wachezaji wanaokuja kupumzika baada ya kukamilika kwa ligi katika nchi hizo. Wachezaji hao ambao wengi wanatoka katika Ligi Kuu ya Uingereza wamekuja nchini kwa mapumziko ya msimu baada ya kumalizika kwa…
Majaribu Ikulu
Kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Acacia, inatuhumiwa kutaka kumhonga Rais John Magufuli, Sh bilioni 300 ili aruhusu kusafirishwa kwa makontena 277 ya mchanga wa dhahabu aliyoyazuia katika Bandari ya Dar es Salaam, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Kiasi hicho cha fedha…
Utetezi wa Acacia huu hapa
Naomba kuweka wazi kuwa, pamoja na juhudi za mazungumzo kati yetu na Serikali ya Tanzania, hakuna makubaliano yoyote ya kulipa kama vyombo vya habari vinavyoendelea kuripoti. Kile kilichowasilishwa katika ripoti za kamati ya kwanza na ya pili siyo matokeo sahihi,…
Kamishna atishiwa kuuawa
Kamishna wa Taasisi ya Kuzia na Kupambana na Dawa za Kulevya, William Sianga, ametishiwa kuuawa. JAMHURI limethibitishiwa kuwa mfanyabiashara wa madini, Timoth Mwandigo, ambaye ni mkazi wa Kijitonyama, Dar es Salaam anashikiliwa polisi akihusishwa na tishio la kumuua Sianga. Pamoja…
Biashara ya ngozi yaporomoka
Sekta ya ngozi imeendelea kuwa njia panda baada ya wadau wa ngozi kulalamika kuhusu kuharibika kwa ngozi na kukosa wateja, huku Chama cha Kusindika Ngozi nchini kikikabiliwa na uhaba wa ngozi; jambo ambalo linahatarisha uhai wa viwanda. JAMHURI limezungumza na…