JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2017

Zaidi ya Million 20 Zapatikana Kusaidia Watoto Wenye Ulemavu

Zaidi ya milioni 20 zimetolewa na wananchi pamoja na Taasisi mbalimbali hapa  nchini ikiwa ni mchango wa kusaidia matibabu na kununua vifaa tiba kwa ajili ya  watoto wenye vichwa vikubwa na migongo wazi. Ikiwa Jana ni Jumanne ya kutoa (GIVING…

LHRC Yabaini Mapungufu Kibao Uchaguzi wa Madiwani

  MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Anna Henga, amesema kuwa kituo hicho kimefuatilia kwa ukaribu uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 ulifanyika Novemba 26 mwaka huu, katika halmashauri 36 kwenye mikoa 19 nchini. Katika…

Katibu wa CHADEMA Manyara Arejea CCM

Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara, Meshack Turento ametangaza kujivua wadhifa huo na kujiunga na Chama cha Mapinduzi akidai chama hicho (CHADEMA) imewatelekeza. Akizungumza jijini Arusha Turento alidai kuwa, kabla ya kujiunga…

Samia Suluhu Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Hospital

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea na kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi. Samia amtembelea Lissu baada ya kumalizika kwa hafla ya kumwapisha Rais Uhuru Kenyatta kuwa…

MAJALIWA: Tutawashughulikia Wote Wanaotumia Vibaya Fedha Za Ukimwi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitawavumilia watu wote wanaotumia vibaya fedha za umma ambazo zinapaswa kuleta maendeleo kwa wananchi, zikiwemo na za Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi. Amesema mfuko huo unalenga kufanikisha ukusanyaji wa fedha za kutosha amabazo ni…