Month: June 2018
Ridhiwani Kikwete Atoa neno Kifo cha Sum wa Ukweli
Kwenye ukurasa wake wa kijamii Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameonesha kuguswa na kifo cha Msanii wa Bongo fleva Sam wa Ukweli,na kushindwa kujizuia na kuandiaka maneno yafuatayo “Innallillah Wainnaillah Rajuun, Nadhani sihitaji kusema mengi ila kumshukuru Mungu Mwenyezi kwa…
Lipuli Fc Wamng’ang’ania Kocha wao Amri Saidi
Baada ya kutia kandarasi ya mwaka mmoja na Mbao FC, uongozi wa Lipuli wasema wanatambua kuwa kocha Amri Said ‘Stam’ bado ana mkataba na timu yao. Mwenyekiti wa Lipuli, Ramadhani Mahano, amefunguka na kusema wao wanatambua kuwa Stam ni kocha…
Salamba Kuanza kazi Simba leo
Mchezaji mpya aliyesajiliwa Simba, Adam Salamba, leo anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza dhidi ya Kakamega HomeBoyz FC katika mashindano ya SportPesa Super Cup mjini Nakuru, Kenya. Salamba alishindwa kujiunga na Simba tangu mwanzo wa mashindano kutokana na kuelezwa kuwa…
TANZIA: Msanii Sam wa Ukweli Afariki Dunia
MSANII wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu na mwili wake umehifadhiwa katika Hospital ya Mwananyamala. Taarifa hiyo…
NYERERE 349
Sehemu ya 7 Kama shule iko kijijini (na katika shule mpya zitakazojengwa siku zijazo) itawezekana kwamba shamba la shule liwe karibu karibu na shuleyenyewe. Lakini katika miji na katika shule za zamani zilizo katika vijiji vyetu vyenye watu wengi, huendaisiwezekane…
Ndugu Rais nguzo imeanguka paa litashikiliwa na nani?
Ndugu Rais, Abdulrahman Kinana ametuacha! Anataka kupumzika. Mwanadamu ana siku moja tu ya kupumzika. Siku Muumba wako atakayokwita ukasimame mbele ya haki! Siku hiyo utakuwa umelala peke yako! Nawe utakuwa na mapumziko ya milele kwenye nyumba yako ya milele! Hapa…