JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2018

Fast Solutions For Myrussianbride ca – Some Thoughts

In the present world that is quick dating provides the opportunity to meet and socialize with a wide assortment of suitable individuals that are also attempting to find a partner. But a potential spouse meet. Hence choosing the most suitable…

Maskini Akwilina: Ndiyo basi? (2)

Sehemu ya kwanza ya makala hii ilitoka katika toleo na. 347. Tangu wakati huo hapakuwa na nafasi kwa makala hii na safu nyingine nyingi kutokana na nafasi zake kuwekwa hotuba za bajeti za wizara mbalimbali. Tunaomba radhi kwa usumbufu huo….

Uhusiano wa Kombe la Dunia na umeme

Kombe la soka la FIFA (Kombe la Dunia) limeanza kwa wiki zaidi ya moja sasa. Lilianza kwa kuwakutanisha wenyeji Russia dhidi ya Saudi Arabia kwenye uwanja wa Luzhniki jijini Moscow. Nimekumbuka jamaa yangu mmoja ambaye, tofauti na mimi, hana ushabiki…

Ndugu Rais ‘National Breakfast Prayer’ itufunze

Ndugu Rais ni kweli kwamba ukiwa mkweli sana unaweza ukafika mahali ukasema, bora baba yangu angekuwa ni huyu mzee jirani yetu kuliko huyu baba niliyenaye! Kuna baba wengine ni kero kwa watoto wao. Na wengine kama mkosi! Tunaziona nyumba nyingi…

Ndani ya Wapinzani yamo yenye manufaa

Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata mfumo wa siasa wa vyama vingi. Tangu kurejeshwa kwa mfumo huo mwaka 1992, yamekuwapo manufaa mengi. Tutakuwa watu wa ajabu endapo tutabeza kazi nzuri na ya kutukuka iliyofanywa na baadhi ya wapinzani makini katika…