JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: August 2018

CCM wachukua fomu kumrithi Majimarefu Korogwe Vijijini

Wanachama  44 wa CCM wamejitokeza kuwania ubunge jimbo la Korogwe Vijijini. Wanacham 47 walichukua fomu hizo na 44 kati yao akiwamo mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Thomas Ngonyani wamerudisha fomu hzo. Jimbo hilo lilikuwa likiongozwa na Stephen Ngonyani…

Jokate azindua Operesheni Jokate

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo amewataka wote wanaoendesha shughuli za kilimo na ufugaji katika misitu ya Ruvu Kusini na Kazimzumbwi wilayani humo kuondoka mara moja kabla hajatumia nguvu. Jokate ametoa agizo hilo leo Agosti 7 akiwa kwenye msitu…

Magazetini Leo, Agost, 8, 2018

DC Jokate Mwegelo alivyoongoza ukamataji wa mifugo kwenye Hifadhi

YANGA YAENDELEA KUJIFUA MOROGORO KWA AJILI YA WARABU

Kikosi cha Yanga kipo mjini Morogoro kikiendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger. Yanga itashuka dimbani Uwanja wa Taifa Dar es Salaam Agosti 19 2018 kumenyana na Alger kutoka Alger wakiwa…

KATIBU WA ZAMANI WA TFF ANUSURIKA AJALI YA GARI DAR

Mwanahabari mwandamizi na katibu mkuu wa zamani wa TFF, Angetile Osiah amenusurika kifo katika ajali mbaya ya gari, jana. Osiah alipata ajali mbaya baada ya gari lake kugonga roli akiwa njiani kwenda nyumbani kwake Chanika jijini Dar es Salaam. Akizungumza…

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amewataka wataalamu wa afya wilayani humo kutoa elimu ya njia sahihi za kunyonyesha watoto.

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amewataka wataalamu wa afya wilayani humo kutoa elimu ya njia sahihi za kunyonyesha watoto. Amesema elimu hiyo itawawezesha kinamama kupata kizazi chenye afya bora na kushiriki vyema masuala ya uchumi na kijamii kwa…