Month: September 2018
Mkenya Kipruto ashinda mbio za mita 3000 baada ya kupoteza kiatu
Mwanariadha wa Kenyan Conseslus Kipruto alikaidi pigo la kupoiteza kiatu mapema ili kuibuka mshindi wa mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji katika ligi ya almasi ya IAAF Diamond League mjini Zurich, nchini Switzerland. Baada ya kupiga kona moja…
Watanzania 27 wasio na vibali wakamatwa Mombasa nchini Kenya
Watanzania 27 wamekamatwa mjini Mombasa Kenya baada ya kuingia nchini humo bila vibali maalum. Mamlaka ya usalama huko Mombasa inaendelea na mipango ya kuwarejesha nchini kwao. Baadhi ya watu hao wameshikiliwa na polisi katika kituo cha Likoni wakati wakisubiri kurejeshwa…
16 WANAODAIWA KUKWAPUA FEDHA ZA USHIRIKA WILAYANI HAI ,WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA
WATU 16 wakiwemo viongozi wa Bodi ya Ushirika wa Umoja wa watumia maji katika kijiji cha Mijongweni (UWAMI) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya wakituhumiwa kuhusika na ubadhilifu wa fedha za…