Year: 2018
Bajeti yetu, kilimo na viwanda
Na Deodatus Balile, Abuja, Nigeria Wiki hii nimekuwa hapa jijini Abuja, Nigeria. Nimepata fursa ya kukutana na Rais Mohamed Buhari wa Nigeria. Nimekutana na mawaziri wa Habari, Fedha, Viwanda na Biashara. Kukutana kwetu kumekuwa kama zari. Kilichonileta hapa Nigeria ni…
Kasoro uhawilishaji mashamba Kusini
SONGEA NA MUNIR SHEMWETA Uwekezaji ni jambo muhimu hasa katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Tano ambayo msisitizo wake mkubwa ni Serikali ya Viwanda na kuelekea katika uchumi wa kati. Hali hiyo inatokana na uwekezaji kuwa…
Kauli ya TCRA Zanzibar Kuhusu Usajili wa Blog
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA, kanda ya Zanzibar, imewatoa wasiwasi wamiliki wa tovuti, blogi, redio na televisheni za mtandaoni, kuwa usajili utashughulikiwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar na sio TCRA. Hayo yanakuja kufuatia tangaazo la hivi karibuni la TCRA, la…
NI VITA KOMBE LA DUNIA, URENO VS URUGUAY HUKU SPAIN WAKIKIPIGA NA URUSI
Baada ya kwenda sare ya bao 1-1 na Iran usiku wa jana, timu ya taifa ya Ureno sasa itakutana na Uruguay katika mchezo unaofuata ya 16 bora kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi. Mchezo huo ulimazika kwa sare…
Mwanamume afunga ndoa na wanawake wawili wakati mmoja
Kijana mmoja raia wa Somalia ambaye alioa wanawake wawili usiku mmoja amesema kwamba atawashawishi wanaume wengine kufanya hivyo. Bashir Mohamed anasema kuwa aliwachumbia wanawake wote kwa takriban miezi minane na kuwashawishi kufunga ndoa naye. ”Nilikuwa nikiwaleta nyumbaji wote pamoja”, alisema….
Miaka 9 tokea kifo cha Michael Jackson, kuna haya ya kuyafahamu
Miaka tisa tokea dunia ipate taarifa za kifo cha mfalme wa muziki wa Pop duniani Marehemu Michael Jackson ambaye alifahamika duniani kote kutokana na upekee aliokuwa nao katika uchezaji pamoja na nyimbo zake ambazo zilipendwa na watu wengi ulimwenguni. Marehemu…