JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

Kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekau Ajitokeza Tena

Kiongozi wa kikundi cha wapiganaji wa Boko Haram Abubakar Shekau, ameonekana kwenye video mpya karibu saa ishirini na nne baada ya Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari kwa mara ingine kutamka hadharani kuwa kikundi hicho kimesambaratishwa. Huu ni mkanda wa video…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 3, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Januari,03, 2018 nimekuekea hapa

MWANAHABARI JUSTINE LIMONGA AAGWA DAR

Katibu  wa Itikadi na Uenezi  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamphrey Polepole, ameongoza mamia ya waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa mwanahabari, Justine Limonga iliyofanyika Viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam leo mchana.   Akizungumza katika ibada hiyo, Polepole alisema CCM na tasnia…

RAIS WA FIFA KUHUDHURIA MKUTANO DAR ES SALAAM

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepata uenyeji wa mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) unaotarajiwa kufanyika Februari 22 mwaka huu katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere ulioko eneo la Posta jijini Dar es Salaam. Akizungumza…

PIGO KWA WAKENYA, SPORTPESA YASITISHA UDHAMINI

Kampuni ya mchezo wa kamari nchini Kenya, SportPesa, imesitisha udhamini wake wa michezo kutokana na uamuzi wa serikali kuongeza ushuru hadi asilimia 35 kutoka kwa asilimia 7.5. Akizungumza na waandishi wa habari Jumanne, mkurugenzi mkuu na mwanzilishi wa SportPesa Ronald…

GWIJI WA SOKA BARANI AFRIKA NA DUNIANI, AMETANGAZWA KUWA RAIS

Gwiji wa soka barani Afrika na duniani, ametangazwa kuwa Rais wa Liberia na kuchukua mikoba ya Rais wa kwanza mwanamke barani Afrika Ellen Johnson Sirleaf aliyemaliza muda wake. Ushindi wa Weah umetokea wakati kumbukumbu zikionesha kuwa mwaka 2005, aliwania kiti…