JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

Unaikumbuka ‘Whisky Soda’ ya Bembeya Jazz?

  Na Moshy Kiyungi, Tabora Wimbo uliojizolea umaarufu mkubwa miaka ya nyuma ulikuwa wa ‘Whisky Soda’. Hapana shaka wenzangu wenye umri mkubwa watakuwa wanaukumbuka wimbo huo uliopigwa katika mtindo wa aina yake. Hiyo ilikuwa ni kazi nzuri ya bendi ya…

Tamu, chungu ya Magufuli

Na Deodatus Balile Leo zimepita wiki mbili bila kuandika katika safu hii. Makala yangu ya mwisho niliahidi kuandika yaliyojiri katika safari ya mwisho niliyokwenda Mwiruruma, Bunda kumzika Comrade Shadrack Sagati (Mungu ailaze mahala pema peponi roho yake). Sentensi ya mwisho…

Hongera Hospitali ya Sinza Palestina

Wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ndivyo Mpita Njia (MN) anavyoweza kusema baada ya kupata huduma katika Hospitali ya Sinza (Sinza Palestina). Tangu zama za Awamu ya Pili ya uongozi wa taifa letu, Mpita Njia amekuwa mgumu kuziamini huduma…

MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (35)

Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Watu wanaokuzunguka ni sababu ya mafanikio. “Unakuwa na kama watu watano ambao unatumia muda mwingi ukiwa nao. Wachague kwa uangalifu, ” alisema Jim Rohn. Mtazamo chanya unaambukiza. Mafanikio yanaambukiza. Mark Ambrose alisema: “Nionyeshe rafiki zako…