JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

Mbunge WAITARA wa CHADEMA Ahamia CCM

MBUNGE wa Chadema Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amekihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Waitara amesema sababu ni kutofautiana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe baada ya kumhoji kwa nini chama hicho hakifanyi uchaguzi wa mwenyetiki…

KOCHA YANGA ATIMKIA KENYA

Kocha aliyekuja nchini takribani siku mbili zilizopita, Razaq Siwa, amerejea kwao Kenya bila kufahamu hatua ipi ya mazungumzo wamefikia na Yanga. Siwa ambaye ni kocha wa makipa, aliwasili nchini kisha kupokelewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Yanga, Hussein Nyika,…

SAMATTA NA LEVANTE WAFIKIA HATUA HII, MENEJA WAKE AFUNGUKA

Baada ya tetesi kubwa za Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya KRC Genk huko Ubelgiji kuhitajika Levante, kuzidi kushika kazi, Meneja wa mchezaji huyo, Jamal Kisongo amesema mambo bado hayajaa sawa. Kisongo amefunguka na kueleza mazungumzo baina ya Levante…

MGOGORO WA YANGA, WAMPELEKA AKILIMALI IKULU KWA MAGUFULI

Kutokana na hali ya Yanga kuwa katika kipindi cha mpito hivi sasa, imeelezwa kuwa Katibu wa Baraza la Wazee ndani ya klabu hiyo, Ibrahim Akilimali, amepanga kufika Ikulu kwa Rais John Pombe Magufuli. Taarifa imeeleza kuwa Akilimali amefunguka na kusema…

UTATA WAIBUKA BETHIDEI YA TIFFAH

Wakati mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akitangaza maandalizi ya kufuru ya bethidei ya mwanaye Tiffah (pichani), utata umeibuka baada ya upande wa pili wa mzazi mwenziye msanii huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kudaiwa kuipotezea. Mtu…

BAADA YA KUKABIDHIWA KITI CHA MKWASA, KAAYA AJA NA OMBI MOJA KWA WANAYANGA

Baada ya kuchaguliwa kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga akichukua nafasi ya Charles Mkwasa, Omary Kaaya, ameibuka na kueleza jambo la kwanza ambalo Wanayanga kwa ujumla wanapaswa kulitilia nguvu. Kaaya amesema ili Yanga iweze kusonga mbele cha kwanza inabidi waunganike…