MBUNGE wa Chadema Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amekihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Waitara amesema sababu ni kutofautiana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe baada ya kumhoji kwa nini chama hicho hakifanyi uchaguzi wa mwenyetiki wa chama hicho Taifa.

Please follow and like us:
Pin Share