JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

Subira ina heri, hila ina shari 

Mwanambuzi alikwenda mtoni kunywa maji. Akiwa anakunywa maji, alitokea mbwamwitu naye alikwenda kunywa maji. Mbwamwitu alisimama hatua chache kutoka aliposimama mwanambuzi.  Mbwamwitu alitamani sana kumla mwanambuzi. Alifikiri mbinu za kumkamata asimkimbie. Wakati anafikiri hivyo, mwanambuzi alikwisha kubaini janja ya mbwamwitu….

Yah: Maisha ya leo ndiyo tunayohitaji

Nianze na salamu za makabila ya huku kwetu Kusini kwenye mafanikio ya kununua korosho kwa mkupuo, tena bila mizengwe ya kuzungushana wala kupangiwa bei tofauti. Kuna salamu ambayo nadhani nikiitumia wengi wataielewa kwamba yajayo yanafurahisha, msishangae kutuona mjini kuja kufanya…

Tumkumbuke nguli Shakila Binti Said (1)

Ni zaidi ya miaka miwili tangu atutoke Shakila Binti Said aliyekuwa nguli katika miondoko ya muziki wa taarabu humu nchini na Afrika Mashariki na Kati kwa ujumla. Wakati wa uhai wake, aliweza kuonyesha umahiri wake wa utunzi na uimbaji wa taarabu…

Nani kuibuka mchezaji bora Afrika?

Wachezaji watano wamependekezwa kuwania tuzo ya BBC ya Mchezaji Bora wa soka barani Afrika mwaka 2018. Wachezaji wote wanacheza soka la kulipwa barani Ulaya. Wachezaji walioorodheshwa mwaka huu ni Medhi Benatia (Morocco), Kalidou Koulibaly (Senegal), Sadio Mane (Senegal), Thomas Partey…

‘Balozi’ Alphayo Kidata kufikishwa mahakamani

Kuna kila dalili kuwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada, Alphayo Kidata, atafikisha mahakamani Kisutu muda wowote kuanzia sasa kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), uchunguzi wa JAMHURI umebaini….

Mchati: Mti wa thamani unaotoweka Mafia

Licha ya ukweli kuwa uoto wa asili wa Kisiwa cha Mafia unafanana kwa kiasi kikubwa na uoto wa asili wa visiwa jirani vya Pemba na Unguja na maeneo ya Bara yaliyopo jirani kama Kisiju na Rufiji, watafiti Rogers na Greenaway…