JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2018

Changamoto ya wahamiaji haramu jijini Dodoma

DODOMA. EDITHA MAJURA. Wakati Serikali ikiendelea kuhamia Dodoma, jiji hilo limeonekana kuwa kitovu cha wahamiaji haramu, ambapo katika kipindi cha miezi mitatu zaidi ya wahamiaji haramu 70 wamekamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Afisa Uhamiaji wa Mkoa wa Dodoma,…

Rangi za mapaa kweli ndiyo kipaumbele chetu?

Jiji la Dodoma linabuni mbinu za kubadili mandhari yake, lengo likiwa kuleta mvuto zaidi kwa wenyeji na wageni. Miongoni mwa mambo yaliyobuniwa ni kuwapo kwa sheria ndogo inayowalazimu wenye nyumba kuwa na rangi fulani fulani za mapaa ya nyumba kulingana…

Azam Yafanikiwa Kutetea Ubingwa Kombe la Kagame Yaitandika Simba 2-1

AZAM FC imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Kombe la Kagame baada ya jana Ijumaa kuifunga Simba mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Katika mchezo huo ulioanza majira ya saa 12 jioni, Azam ilikuwa ya…

Marekani kujiondoa NATO

Rais wa Marekni, Donald Trump, ametishia kuiondoa nchi yake kutoka katika Jumuiya ya Kujihami ya Mataifa ya Magharibi (NATO), iwapo nchi wanachama wa Umoja huo ikiwamo Ujerumani hazitaongeza bajeti ya ulinzi. Amesema marais waliomtangulia walikuwa wakijaribu bila mafanikio kuilazimisha Ujerumani…

Julius Nyerere – Uzalendo

“Hatima ya nchi yetu ni jukumu letu. Kwa pamoja tunaweza kuisaidia nchi yetu kusonga mbele kuelekea kwenye haki zaidi na usawa zaidi kwa Watanzania wote.” Kauli hii imetolewa kwenye kitabu cha nukuu za Kiswahili za Rais wa Kwanza wa Jamhuri…

HABARI PICHA: Mke wa Kibonde azikwa Makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam

  Jana  July 13, 2018 Familia, ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na mtangazaji Ephraim Kibonde wameuaga na kuuzika mwili wa marehemu Sara Kibonde ambaye ni mke wa mtangazaji Kibonde nyumbani kwake, Ubungo Kibangu na kisha baadae kuupumzisha mwili wake…