JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: February 2019

Yanga yaweka ubingwa rehani

Na Khalif Mwenyeheri Yanga imeshindwa kupata matokeo mazuri katika mechi zake za hivi karibuni na kuifanya timu hiyo kupunguza nafasi ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), hali hiyo inawafanya Yanga kuwa na kazi kubwa ya kufukuzia ubingwa. Katika…

Magufuli achukua mkondo mpya

Ugumu wa upatikanaji wa fedha ulioibua msemo maarufu wa “vyuma vimekeza”, umebadilika kwa serikali kuanza ‘kulegeza’ baadhi ya mambo. Manung’uniko yameanza kupungua mitaani ambako fedha ziliadimika kwa kiwango kikubwa kuanzia mwaka 2016, lakini Rais John Magufuli akisema waliokuwa wakilalamika ni…

Mjomba amtia mimba mpwawe 

Ukishangaa ya Musa…hivyo ndivyo naweza kusema kuhusu binti (jina limehifadhiwa kwa sababu za kisheria) mwenye umri wa miaka 16, ambaye anatakiwa kuwa shuleni, lakini haiko hivyo kwake, yupo nyumbani analea mtoto wake mwenye umri wa miezi minne. Anatamani kupata nafasi…

MPITA NJIA

Bunge na madereva wa wabunge…!   Umri wa Mpita Njia (MN) unatosha kumfanya awe na kumbukumbu ya mengi – kuanzia zama za ukoloni hadi uongozi wa Awamu hii ya Tano. Anakumbuka zama zile za ubaguzi ambapo Mzungu alikuwa mtu wa…

Wawekezaji waanza na elimu Ulanga

Kampuni ya uchimbaji madini ya kinywe – Mahenge Resources imejitolea kuboresha sekta ya elimu katika Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro. Kampuni hiyo kwa kushirikiana na serikali ya wilaya imechangia Sh milioni 16 kwenye harambee maalumu iliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya…

Mlungula wadaiwa kuvuruga vigogo TFDA, Jiji Mwanza

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) Kanda ya Ziwa imeingia ‘vitani’ na Halmashauri ya Jiji la Mwanza ikizuia maofisa wa jiji hilo kufanya ukaguzi kwenye maduka ya vipodozi, dawa na maeneo mengine ya kibiashara. Haya yanafanyika huku Ofisi ya…